BAADHI ya mawakala watakaoandaa mashindano ya kumsaka Redd's Miss Tanzania 2012 katika ngazi tofauti wakiwa katika picha ya pamoja mara baada kufanyika kwa semina maalum ya kuwanoa kwenye hoteli ya Giraffe Ocean View jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim Lundenga akifafanua jambo wakati wa semina ya mawakala wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania 2012 iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Miss Tanzania 2011, Sarha Israel na Meneja wa kinywaji cha Redd,s Victoria Kimaro.
No comments:
Post a Comment