HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 2, 2012

Rais Kikwete akutana na balozi wa Msumbiji nchini Mh. Amour Zacarias Kupela

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mh.Amour Zacarias Kupela wakati balozi huyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi na kufanya naye mazungumzo yanayohusu uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mh.Amour Zacarias Kupela baada ya balozi huyo kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi na kufanya naye mazungumzo yanayohusu uhusiano kati ya nchi hizo mbili.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad