HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 11, 2012

Rais Kikwete akagua mradi wa umwagiliaji Msoga

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mkulima Selemani Ramadhani katika shamba la kijiji lililopo katika mradi wa umwagiliaji katika kijiji cha Msoga kilichopo wilayani Bagamoyo leo asubuhi wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya mradi.Jumla ya hekta mia nne zimetengwa kwa ajili ya mradi huo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha maji katika mradi wa umwagiliaji maji katika kijiji cha Msoga,wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani leo mchana.Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani Bi.Mwantumu Mahiza na kushoto ni mwenyekiti wa kijiji cha Msoga Bwana Herman Katoto Semindu.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad