HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 5, 2012

NASHUKURUNI SAANA NA NINAOMBA RADHI - SHAMIM MWASHA

NAOMBA NICHUKUE FURSA HII TENA KUWASHUKURU WANAWAKE WOOOTE MLIOJITOKEZA NA KUITIKIA WITO WA KUJA KATIKA WOMEN CELEBRATION KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, NASHUKURU SAANA WAHESHIMIWA WALIOKUJA KUNIUNGA MKONO AKIWEPO MHESHIMIWA UMMY MWALIMU NAIBU WAZIRI WA JINSIA ,WANAWAKE NA WATOTO ,PAMOJA NA MHESHIMIWA MBUNGE WA VIJA NA ARUSHA CATHERINE MAGIGE,KIWOHEDE VIKUNDI MBALIMBALI VILIVYOJITOKEZA,MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YA WATU BINAFSI PAMOJA NA WAJASIRIAMALI NA MASHOST.

PIA NAWASHUKURU CLOUDS FM,KASSO ENTERTAINMENT,BAILEYS,KONAD NA I VIEW MEDIA

KUMRADHI

NA POLENI KWA MAPUNGUFU YALIYOJITOKEZA YAKIWEMO UPUNGUFU WA VITI (ambapo ulitokana na hotel kuwa na upangaji wao wa kuacha nafasi nasi tulifikiri vingine hatukujua tutapata watu wengi (xoxo) NA WENGI WENU KUTOKUJUA KAMA HAKUTAKUWA NA MSOSI, NA JOTO LILILOKUWEPO KUTOKANA NA MAFENI KUTOKUFANYA KAZI,PARKING KUKOSEKANA NK
NAKIRI KUNA MAPUNGUFU MEENGI YALIYOJITOKEZA

(bado naendelea kukusanya maoni na ushauri so nitumie kwenye comment hata kwa email shamyomy@yahoo.com, SIMU 0784 418941 )

NAKIRI HAYO NI MAPUNGUFU NA NINAYACHUKULIA KAMA CHANGAMOTO NA NINAAHIDI HAYATOJIRUDIA TENA KWANI MIE NI MCHANGA KATIKA KIPANDE HIKI NA NINAJIFUNZA NA BADO NATAENDELEA KUJIFUNZA .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad