Waziri Ujenzi Mhe. Dkt. John Magufuli akifungua jiwe la msingi kuashiria Ujenzi wa Majengo mawili ya Ghorofa kumi kila moja Mkoani Arusha wikiendi iliyopita.
Msanifu Majengo Mwandamizi wa TBA Arch. Deo Chubwa akitoa maelezo ya namna Maghorofa yatakavyokuwa pindi yakikamilika ujenzi wake mbele ya Waziri wa Ujenzi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA) Arch. Elius Mwakalinga atoa hotuba fupi kabla ya kumkaribisha Mh. Waziri Mkuu kuzindua Ujenzi wa Majengo hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yatabadilisha mandhari ya jiji la Arusha. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ujenzi, Eng. Dr. John Ndunguru na katikati ni Mwenyekiti wa bodi ya TBA Dr. P. Ngwale.
Waziri wa Ujenzi Mh. Dr. John Magufuli akisalimiana na Meneja wa TBA Mkoa wa Arusha Eng. Dungamu.
No comments:
Post a Comment