HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 2, 2012

MATUKIO MBALI MBALI KATIKA BAADHI YA MAENEO YA JIJI LA DAR

2 comments:

  1. JAMANI WABONGO WENZANGU TURUDI KWETU BONGO KUMEKUCHA SANA YAANI TAMBARALE,MVUA KIBAO, MAFURIKO KWA FUJO, UMASKINI UMEKITHIRI, MALARIA, KAMA KAZI .TOMATO NA MATUNDA YAMETELEKWA KATIKA VUMBI DAWA ZIPOZIPO KIDGO, HOSPITAL ISIOKUWA NA DAWA WALA SANITATION HAKUNA,UFISADI NI AFRIKA NAMBA WANI,RUSHWA AMBAYO SASA HIVI NAONA KATIKA KATIBA INAJADILIWA KURUHUSIWA,SHULE ZILIZOCHOKA KABISA,HAKUNA HATA MEDESK WANAFUNZI HAWANA VITI SHULE WANAKAA JUU YA MAWE. BARABARA ZOTE VUMBI, AIDS INAMALIZA KIZAZI KIJACHO, WANASIASA MISHAHARA YA JUU KUPITA HATA HUKU KWETU MAREKANI, UKIWA MBUNGE TU UMEULA AU UWE CCM. TUWAHI JAMA TUSICHELEWE MELI YA MWISHO HII

    ReplyDelete

Post Bottom Ad