HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 8, 2012

Kamera Ya Mtaa Kwa Mtaa na Matukio Mbali Mbali ya jijini Dar

 Jamaa akiyacheki matikiti maji na kuhakikisha hakuna hata moja linapungua.
 Msela akisaka vyake kwenye sehemu ya kuhifadhia taka,japo kuna kibao kinachokataza lakini mambo kama kawa.
 Maegesho ya Magari yasiyo rasmi mtaa wa Lumumba,jijini Dar.
Daladala na Mwenendo wa kutoegesha vituoni.
 Lanchi taimu mitaa ya kati jijini Dar.
Kama kawaida yao maeneo ya Kwa Mtogole.
 Mifuniko ya Chemba nyingi za jijini Dar ni ya namna hii.
 Kutanua kama kawa.
Njia katikati ya Nguzo ya Umeme (maana najua ni lazima hii njia imeikuta hii nguzo.) maeneo ya Tandale.

 Wazee wa kazi mzigoni.
 ka handaki.
 Mwanaume Kazini.
 Madafu ya Bichi.
Dogo.
Kikwangua anga kipya Mtaa wa India na Morogoro rodi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad