Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki Milimani wilaya ya Magharibi Unguja leo,ambao unauwezo wa kuswaliwa na waumini 400 kwa wakati mmoja,thamani ya ujenzi w msikiti huo ni Mia moja sabii Milioni,(kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa kutuba yake kwa waaumini wa dini ya kiislamu baada ya kuufungua Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki Milimani Wilaya ya Magharibi Unguja leo,ambao unauwezo wa kuswaliwa na waumini 400 kwa wakati mmoja,thamani ya ujenzi wa msikiti huo ni Mia moja sabii Milioni.
Baadhi ya wananchi na waumini wa Dini ya kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa kutuba yake kwa waaumini hao jana baada ya kuufungua Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki Milimani wilaya ya Magharibi Unguja leo.PICHA NA RAMADHAN OTHMAN IKULU.
No comments:
Post a Comment