Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk. Mary Nagu (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Uwezeshaji wa Ujenzi nchini,uliofanyika leo kwenye hoteli ya Serenna jijini Dar ea Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Mfuko wa Sekta Binafsi nchini,Bi. Ester Mkwizu.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Sekta Binafsi nchini,Bi. Ester Mkwizu akifafanua jambo kwa waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Uwezeshaji wa Ujenzi nchini nchini uliofanyika leo kwenye hoteli ya Serenna jijini Dar ea Salaam.
Baadhi ya Wadau wa Sekta ya Ujenzi nchini wakiwa kwenye Mkutano huo uliofanyika leo kwenye hoteli ya Serenna jijini Dar ea Salaam.
No comments:
Post a Comment