Mwanamuziki Tlou Cleopas Monyepae maarufu kama DJ Cleo Kutoka nchini Afrika ya Kusini akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dar es Salaam usiku huu, tayari kwa onyesho lake litakalofanyika kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es salaam siku ya Machi 10, 2012 siku ya jumamosi, Mwanamuziki huyo kwa sasa anatamba na wimbo wake wa FACEBOOK na ameongozana na wanamuziki wenzake wawili .
Mwanamuziki Tlou Cleopas Monyepae maarufu kama DJ Cleo Kutoka nchini Afrikaya Kusini akisalimiana na Mkurugenzi wa Times FM Radio ambaye ndiye mwenyeji wake wakati alipokuwa akimpokea kwenye uwanja wa ndege wa J.K.Nyerere,jijini Dar usiku huu.
Mwanamuziki Tlou Cleopas Monyepae maarufu kama DJ Cleo Kutoka nchini Afrika ya Kusini katikati akiongozana na wanamuziki wenzake kwenda kupanda gari tayari kuelekea hoteli ya Protea ambako ndiko walikofikia.
No comments:
Post a Comment