Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta akihutubia wakati wa Bonanza la Waandishi wa Habari lililodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Msasani Club, Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Saturday, March 24, 2012

Home
Unlabelled
BONANZA LA WANAHABARI 2012 LAFANA JIJINI DAR
BONANZA LA WANAHABARI 2012 LAFANA JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment