Mshambuliaji wa Timu ya Yanga,Khamis Kiiza akishangilia goli lake la kwanza alilolipachika dakika ya 36 ya mchezo huo dhidi ya Zamaleck ya Misri kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Khamis Kiiza akishangilia na Mashabiki wa Yanga mara baada ya kufunga goli la kwanza.
ubao unavyosomeka.
Beki wa Yanga,Nadir Haroub akichuana vikali na Mshambuliaji wa Zamaleck,Omotoyosi Razack.
Hatati langoni mwa timu ya Zamaleck.
No comments:
Post a Comment