HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 10, 2012

WASANII WAKALI KUSHIRIKI SHOO DAR LIVE JUMAPILI HII

Meneja wa Kundi la TMK Wanaume Family, Said Fella akithibitisha kundi lake kutoa burudani katikia onesho hilo.

WASANII wakali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mwana FA, AY, Kundi la TMK Wanaume Family na Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ kwa pamoja wanatarajiwa kuangusha bonge la shoo siku ya Jumapili hii ndani ya Ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam huko Mbagala.Akizungumza na wanahabari mchana huu, mratibu wa burudani katika ukumbi huo, Juma Mbizo, alisema maandalizi yote kuhusiana na tamasha hilo yamekamilika.
Mwana FA akielezea jinsi atakavyofanya makamuzi ya nguvu.
Ambwene Yessayah ‘AY’ akiumwagia sifa ukumbi wa Dar Live ambao baada ya kuuona aligundua kuwa una hadhi ya kimataifa.
Chegge akielezea jinsi atakavyofunika katika shoo hiyo 'bab kubwa'.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad