HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 16, 2012

TIC yafanya semina ya siku moja ya Wahariri na Waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari nchini leo

Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC),Balozi Elly Mtango (katikati) akizungumza wakati wa Semina ya siku moja ya Wahariri na Waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji,Raymond Mbilinyi na Mkurugenzi wa Utafiti na Habari,John Kyaruzi.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji,Raymond Mbilinyi akizungumza wakati wa Semina ya siku moja ya Wahariri na Waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika Semina ya siku moja iliyoandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) iliyofanyika Dar es Salaam leo.
Ankal akiwa na Baadhi ya wadau waliokuwa wamehudhuria semina hiyo iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad