HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 10, 2012

RAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAZEE WA CCM MKOANI DODOMA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburu la Mzee Omar Selemani ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Dodoma wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo mkoani  Dodoma . Mzee Suleiman alifariki dunia hospitalini ya mkoa wa Dodoma jana tarehe 9 Februari, 2012 alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza waombolezaji wengine kwenye mazishi ya Mzee Omar Selemani ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Dodoma. Mzee Suleiman alifariki dunia hospitalini ya mkoa wa Dodoma jana tarehe 9 Februari, 2012 alikokuwa amelazwa kwa matibabu.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad