HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 6, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAWAKILISHI WA WAMACHINGA MWANZA, AWAPIGA JEKI YA MILIONI 10 KAMA MTAJI WA KUKOPESHANA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi (machinga) wa jijini Mwanza ambao leo January 6, 2012 walikwenda Ikulu ndogo ya jiji hilo na kumweleza changamoto zinazowakabiri, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mitaji pamoja na taaluma ya kufanyia biashara. Rais Kikwete ametoa milioni 10 kwa ajili yawamachinga hao kukopeshana mitaji.PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad