HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 21, 2012

Rais Kikwete aelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadick muda mfupi kabla ya kuondoka nchini leo asubuhi kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi. (picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad