HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 22, 2012

PSPF YATOA MSAADA WA MADAWATI SHULE YA MSINGI BWILINGU CHALINZE MKOA WA PWANI

Kaimu MKurugenzi Ukaguzi wa Ndani wa Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma PSPF. Bw. Godfrey Ngonyani (kulia) akizungumza na Wazazi na Wanafunzi pamoja na Bodi ya Shule ya Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani wakati walipokwenda kukabidhi msaada wa Madawati 60 yenye thamani ya milioni tatu kushoto Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Bi. Anifa Kombo na Mjumbe wa Bodi ya PSPF Bw. Ramadhani Maneno.
Kaimu MKurugenzi Ukaguzi wa Ndani wa Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma PSPF. Bw. Godfrey Ngonyani (kushoto) akikabidhi msaada wa Madawati 60 yenye thamani ya milioni tatu walioutoa leo kwa Mjumbe wa Kamati ya Shule Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani, Bi. Jacklin Kitego kulia na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Bi. Anifa Kombo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani wakibeba madawati mapya walioletewa na Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma PSPF.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad