MTOTO HUYU PICHANI AFAHAMIKAE KWA JINA LA FATUMA KATOROKA NYUMBANI KWAO MAENEO YA MBWENI MASAITI JANA MCHANA NA HAJULIKANI ALIPO MPAKA SASA,ALIKUA AMEVAA NGUO YA KICHANI NA AMESHIKA BEGI DOGO JEUSI.KWA YEYOTE ATAKAE MUONA TUNAOMBA AWASILIANE NASI KWA NAMBA YA 0713 716656 AU AMPELEKE KITUO CHOCHOTE CHA POLISI KILICHO KARIBU YAKE.
Tuesday, February 21, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment