Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde (kulia) akitoa maelekezo yaliyopo katika fomu ya uthibitisho wa Ushindi kwa mshindi wa shilingi milion 50 wa droo ya pili ya promotion ya Mzuka wa Airtel Bi Hadija Omary Issa kabla ya kusaini fomu hizo Jana katika ofisi za Airtel Makao Makuu . Hadija atakabithiwa pesa zake taslimu katika wiki chache zijazo.
Mshindi wa pili wa kitita cha shilingi milioni 50 wa promotion ya Mzuka wa Airtel Bi Hadija Omary Issa (kushoto) akikabidhiwa fomu ya udhibitsho wa malipo ya fedha zake na Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Jane Matinde , baada ya kuibuka mshindi wa pili wa promotion hiyo ambayo inaendelea kwa wateja wa Kampuni ya Airtel Tanzania.Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika ofisi kuu ya Airtel Tanzania.
No comments:
Post a Comment