Wapendwa naomba niwafikishie taarifa ya Msiba wa Mama yake Mzazi John Hans Badi - Mpigapicha wa Magazeti ya This Day na Kulikoni.
Kifo kilitokea jana jioni katika Hospitali ya Aghakhan jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Msiba upo Morocco kama unaelekea Kawe mkono wa kushoto ukitoka tu katika mataa.
Mawasiliano zaidi John H Badi 0712155221.
Tumpe faraja ndugu yetu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
No comments:
Post a Comment