Balozi Mpya wa Tanzania nchini Oman,Mh.Ali Ahmed Saleh akiagana na Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi kabla ya kuondoka nchini.
Balozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr.Diodorus Kamala akiongea na Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga leo asubuhi.(Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment