Mambo yalivyo ndani ya Soko Kuu la Arusha.
Mwanadada ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa amepanga biashara yake ya Viati katika barabara ielekeayo stendi kuu ya Mabasi jijini Arusha.
Bidhaa zikipelekwa dukani.
Stendi la Madaladala ilivyopendeza.
Msela akiwa kijiweni huku akichati kwa BBM.
Hawa nao kwa kuharibu hali ya hewaaaa......
Bi.mkubwa akijitafutia rizki kwa kuchoma mahindi na kuuza.
Hii sijui tuiiteje??
Asante sana kwa mapichaz, kwa kuturudisha nyumbani...wengine tukiwa Ugaibuni tukinyukwa na baridi na barafu kwa wingi. Walau nikiangalia picha hizi nzuri nakumbuka nyumbani.
ReplyDeleteAsante Mkuu.