Rais wa Zanzibar Dk, Ali Mohamed Shein akisalimiana na Masheikh na waheshimiwa mbalimbali alipohudhuria katika Kisiwa cha Tumbatu Zanzibar kwa ajili ya kuzindua Maulidi ya Kusherehekea kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW).
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akielekea katika sehemu aliyotaharishiwa kwa ajili ya Uzinduzi wa Maulidi hiyo Kisiwa cha Tumbatu Zanzibar.
Rais wa Zainzibar Dk Ali Mohamed Shein (watatu kutoka kushoto) akiwa pamoja na Masheikh na Viongozi mbalimbali waliohudhuria Uzinduzi wa Maulid ya kusherekea kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) katika kisiwa cha Tumbatu Zanzibar.
Uzinduzi wa Maulidi Huenda sambamba na kupandishwa Bendera ya Dini kama Ishara ya kusherehekea kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW).
Sheikh Othman Maalim akitoa mawaidha katika Uzinduzi wa Maulid ya kusherekea kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) katika kisiwa cha Tumbatu Zanzibar.
tumbatu, kisiwa ndani ya kisiwa, huwezi ingia hapo bila ya viza, na wakitaka usuridi basi haurudi chezee kote lakini hapo mwisho
ReplyDelete