wananchi wa kijiji cha Kapunga Wilayani Mbarali,Mkoani Mbeya wakipita kwenye kivuko cha mto mdogo wa kijiji hicho ambacho ni mti mmoja huku mwingine akijiandaa kuchota maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kama walivyokutwa na mpiga picha Ezekiel Kamanga wa Blogu ya Mbeye Yetu hivi karibuni alipokuwa huko.Hali hii ya wananchi hawa kuwa hivi ni kutokana na mwekezaji wa Kapunga Rice Project kufunga njia zinazoingia na kutoka, pia kufunga maji ya bomba katika eneo hilo.
Wednesday, January 11, 2012
Home
Unlabelled
Wananchi wa Mbarali walia na Mwekezaji wa Kapunga Rice Project
Wananchi wa Mbarali walia na Mwekezaji wa Kapunga Rice Project
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment