HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 28, 2012

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI JIJINI DAR WAANDAMANA

Wanafunzi wa Shule za Msingi Ndugumbi na Mwalimu Nyerere, Magomeni,Dar es Salaam, wakiandamana katika Barabara ya Kawawa, kuishinikiza Wakala wa Barabara wa Serikali (TANROADS), kuweka matuta barabarani, kufuatia wenzao wawili kugongwa na magari kunakosababishwa na mwendo kasi katika eneo hilo.Picha na Hamisi Magendela

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad