HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 20, 2012

wanafunzi wa Kiislam waandamana leo jijini Dar

 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa akizungumza na wanafunzi waislamu waliofanya maandamano ya amani na kukusanyika katika viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam leo kupinga Uongozi wa Shule ya Sekondari Ndanda kuwafukuza wanafunzi 20 wa kiislamu waliokuwa wakisoma katika shule hiyo.
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa akiwasili katika viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam leo kuzungumza na wanafunzi wa kiislam waliokuwa wameandamana leo kupinga Uongozi wa Shule ya Sekondari Ndanda kuwafukuza wanafunzi 20 wa kiislamu waliokuwa wakisoma katika shule hiyo.
 Rais wa Wanafunzi wa kiislamui, Jafari Mneto akizungumza katika viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam baada ya Wanafunzi wa Kiislamu kufanya maandamano ya amani.
 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Suleima Kova akiagana na  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa   mara baada ya kuzungumza na wanafunzi wa Kiislamu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad