HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 16, 2012

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA FEDHA ZA SERIKALI MKOANI MOROGORO LEO

Rais Jakaya Kikwete akizindua jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa mjini Morogoro leo. Nyuma yake ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw. Ludovick Utouh na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera.
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa mjini Morogoro leo. Kushoto yake ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw. Ludovick Utouh na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera.
Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi toka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw. Ludovick Utouh katika hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa mjini Morogoro leo . wengine ni Waziri wa Katiba Mh. Celina Kombani (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera na mkuu wa Wilaya ya Morogoro.
Rais Jakaya Kikwete akielekea kupanda mti baada ya kuzindua jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa mjini Morogoro leo. Pamoja naye ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh.Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad