HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 29, 2012

Rais Kikwete akiwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,Ethiopia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Makao Makuu ya Umoja wa Africa leo mjini Addis Ababa,Ethiopia.Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. bernard Membe. Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika umeanza leo asubuhi mjini Addis Ababa. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa,Ethiopia leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo.
Viongozi wa Afrika wanasimama wakati wimbo wa Umoja wa Afrika unapigwa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadilaiana jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh Bernrd Member na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dr Mwinyihaji Makame Mwadini katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa,Ethiopia leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Paul Kagame wa Rwanda kabla ya kuanza rasmi kwa mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akipanda mti kama kumbukumbu ya mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa,Ethiopia leo.Picha na IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad