HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 24, 2012

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa barabara aendelea na ukaguzi wa madaraja jijini Dar

ukarabati wa eno la daraja la Matosa huko Goba katika wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam ambalo Mwenyekiti wa Mfuko wa Bodi ya Barabara Dkt. James Wanyacha (hayupo pichani ) alikagua maendeleo ya ukarabati.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa barabara Dkt, James Wanyacha (kushoto) pamoja na Mhandisi Julius Ngusa kutoka ofisi ya Tanroads (wa pili kulia) wakimsikiliza Mhandisi Ndekumana wa Tanroads(kulia) kuhusu uharibifu wa daraja la Tabata Kinyerezi Mkoani  Dar es Salaam lilioharibiwa na mafuriko mwisho wa mwaka 2012.ambalo lipo kwenye ukarabati.
Mwenyeki wa Mfuko wa Bodi ya Barabara James Wanyacha akitoa maelezo kwa waandishi wa habari (pichani hawapo) kuhusu maendeleo ya ukarabati wa eneo la daraja la Mbezi katika barabara ya Morogoro (Morogoro road (Mbezi) iliyoharibiwa na mafuriko ya mwaka jana,ambapo mfuko wake umetoa fedha za dharua zaidi ya shilingi bilioni tano (5b/-) zilizoombwa za dharura na mkoa wa Dar es salaam kwajili ya kusaidia ukarabati.
mafundi wakiendelelea na ukarabati huko barabara ya morogoro eneo la mbezi.
uharibifu wa mazingira kwenye daraja la boko watu wakiendelea kuchimba mchanga
(Picha na Mwanakombo Jumaa- Maelezo).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad