Mamia ya waombolezaji wakazi wa Mzumbe Morogorogo na kutoka nje ya Mkoa huo wakishiriki katika kushusha sanduku lililohifadhi Mwili wa Marehemu John Franklin Chekani aliyefariki Januari 20, 2012 nchini Namibia ambako alikuwa akifanya kazi ya kufundisha katika Chuo Kikuu cha Polytechnic cha nchini humo. Marehemu alizikwa jana katika makaburi ya Mikongeni Masarawe Mkoani Morogoro.
Franklin Chekani ambaye ni mtoto mkubwa wa Marehemu akiwa na mama yake mzazi.
Watu mbalimbali wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Chekani.
No comments:
Post a Comment