Mchezaji wa Timu ya Magereza Dar es Salaam,Abel Shoo akirusha vishale kwenye ubao wakati wa mchezo wa makundi kwenye mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts) yanayoendelea kufanyika katika ukumbi wa Rose Garden,Mjini Dodoma.
Mchezaji wa Timu ya Magereza Rombo,Safina Msuya akirusha vishale kwenye ubao wakati wa mchezo wa mchezaji mmoja mmoja kwa upande wa wanawake kwenye mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts) yanayoendelea kufanyika katika ukumbi wa Rose Garden,Mjini Dodoma.
Mchezaji wa Timu ya Magereza Dar es Salaam,Silvanous Kazimoto akirusha vishale kwenye ubao wakati wa mchezo wa makundi kwenye mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts) yanayoendelea kufanyika katika ukumbi wa Rose Garden,Mjini Dodoma.
Mchezaji wa Timu ya Kinondoni,Subira Waziri akirusha vishale kwenye ubao wakati wa mchezo wa mchezaji mmoja mmoja kwa upande wa wanawake kwenye mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts) yanayoendelea kufanyika katika ukumbi wa Rose Garden,Mjini Dodoma.





No comments:
Post a Comment