HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 27, 2012

mambo ya uegeshaji mbaya wa magari jijini dar

Inakuwaje siku umeweka gari katika sehemu kama hii halafu umetoka mara moja kwenda dukani na unaporudi unakuta gari yako imewekwa chuma kwenye tairi huku kwenye kioo cha mbele ukiona karatasi lililoandikwa faini ya kulipia kwa kuegesha gari hilo eneo hilo kama ionekanavyo picha hii,halafu na wewe ulikuwa unaharaka ya kwenda sehemu ambayo kuna jamaa ambaye umempiga changa kwa kumwambia uko njiani unaelekea kwake halafu kumbe ngoma ndio iko namna hii.

1 comment:

Post Bottom Ad