HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 22, 2012

anachumpaaa.......

Ingelikuwa ni kule ni kule Unguja tungesema anapiga makachu ili kuingia kwenye maji pale Forodhani,lakini jamaa huyu hapa ambaye alikuwa ni Kibaka akikuwa anajirusha ili kujaribu kunusuru roho yake kutokana na kichapo toka kwa wananchi wenye hasira kali mara baada ya kushindwa jaribio la kutaka kuiba simu ya mkononi maeneo ya kariakoo jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad