HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 5, 2011

mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika wafunguliwa rasmi leo jijini Arusha

Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akifungua rasmi mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Mkurugenzi  Mkuu wa Shirika la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dr. Ramadhan Dau akizungumza machache wakati amkimkaribisha mgeni rasmi kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaoendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Rais wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Kimataifa (ISSA) ,Bw. Errol Frank Stoove akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaoendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Kimataifa (ISSA),Bw. Hans-Horst Konkolewsky akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaoendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano huo toka nchi mbali mbali za Afrika wakiwa kwenye mkutano huo.
Waongoza mkutano.
Baadhi ya Wahariri wa Magazeti nchini wafuatilia kwa makini mkutano huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Mashirika ya Umma (PPF),Bw. William Erio akiwa na baadhi ya washiriki wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, jijini Arusha leo.
Washiriki kutoka nchi mbali mbali za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, jijini Arusha leo.
Washiriki kutoka nchi mbali mbali za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, jijini Arusha leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad