HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 12, 2011

Heri ya Siku ya Kuzaliwa Wadau wa Mtaa kwa Mtaa Blog

 Matina Nkulru ambaye anapiga Mzigo Vodacom Tanzania
Barthazary Ponera yeye anapiga Mzigo InterGrated Communication LTD.

Hawa ni baadhi tu ya wadau ambao wanasherehekea siku zao za kuzaliwa leo ,hivyo Mtaa kwa Mtaa Blog inapenda kuwatakia kila la kheri na maisha marefu wadau hawa na wengine wengi waliozaliwa siku kama ya leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad