Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Congo,Fally Ipupa akiwa ameongozana na wenyeji wake wakati alipowasili jijini mchana wa leo tayari kwa shoo moja ya Usiku wa Mwafrika mahsusi kwa Wadau wa Club E itakayofanyika usiku wa leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.
Friday, December 2, 2011
Home
Unlabelled
Fally Ipupa ndani ya Jiji la Dar,Tayari kwa Shoo ya Usiku wa Mwafrika
Fally Ipupa ndani ya Jiji la Dar,Tayari kwa Shoo ya Usiku wa Mwafrika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





No comments:
Post a Comment