HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 3, 2011

Waziri Mkuu akutana na Bosi Mpya wa Vodacom Tanzania leo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni ya simu za Mikononi ya VODACOM TANZANIA,Bw. Rene Meza kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.Katikati ni Ofisa Mkuu wa VODACOM TANZANIA, Mwamvita Makamba.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni ya simu za Mikononi ya VODACOM TANZANIA,Bw. Rene Meza, ofisini kwake jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad