HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 5, 2011

TANGAZO LA SALA YA EID LEICESTER UK

Tuna furaha kuwajulisha ndugu zetu wa mji wa Leicester UK pamoja na miji iliyo karibu kuwa Inshaallah SALA YA EID EL ADH-HA itasaliwa kwa utaratibu ufuatao:

SIKU: Jumapili 6-11-2011

PAHALA: Taylor Road Primary School, Taylor Road, Leicester, UK, LE1 2JP

WAKATI: Takbeer zitaanza Saa mbili kasorobo asubuhi (7.45 am)
Sala itaanza Saa mbili na Robo asubuhi (8.15 am)

Madrasatun Nuur Leicester inawatakia Waislamu wote Sikukuu Njema
EID MUBAARAK

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad