HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 6, 2011

MKANDARASI WA BARABARA HII YA TANDALE KAFA????? NA KAMA YUPO KWA NINI HAMUMDAI CHENU??

Maana alichokifanya kwenye barabara hii sio haki kabisa,yaani barabara ina mashimo utafikiri mahandaki.haki ya nani tena vile huyu mkandarasi anatakiwa kuwajibishwa maana hapa katutia changa na macho laivu laivu.kwa wenye magari madogo ndio utawaonea huruma wakipita kwenye barabara hii.hebu angalia hiyo benzi ya harusi inavyopita,unaweza hata kulia kwa kuionea huruma hiyo gari kwa jinsi inavyipita kwa shida katika barabara hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad