hebu pata picha hapa anakuleta huku na anakwambia kuwa kuna nyumba nzuri na ni selfu kontena,ina geti ambalo gari inaingia mpaka ndani (usiulize inapitia wapi,maana njia ni hii hii,halafu ukumbuke kuwa kuna vyombo pia) na masifa mengine kedekede.hivi utamuelewaje??maana yeye hapo keshaweka hesabu zake kwamba kila anakokupeleka ni lazima umdakishe mkwanja wa kuonyesha nyumba.sasa ukiwa kama wewe ndio muhitaji halafu unakutana na mambo haya,utafanyaje??
Tuesday, November 8, 2011
Home
Unlabelled
hawa madalali wa jijini hapa wanavisa kama nini...!!!
hawa madalali wa jijini hapa wanavisa kama nini...!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment