HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 4, 2011

Grandmalt ya chupa yazinduliwa jijini mwanza

 Meneja wa Kinywagi cha Grand Malt,Consolata Adam akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha Bia Tanzania (TBL) cha jijini Mwanza wakati wa uzinduzi wa chupa mpya ya kinywaji hicho,hafla hiyo imefanika jana kwenye viwanja vya kampuni hiyo,jijini Mwanza.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tbl Mwanza wakijipatia sehemu ya Zawadi za Grand Malt kwenye Tafrija hiyo iliyofanyika katika kiwanda cha TBL Mwanza jana na kuhudhuliwa na wafanyakazi wote wa kiwanda hicho.
baadhi ya chupa mpya za kinywaji cha Grand Malt zinavyoonekana mara baada ya uzinduzi huo,jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad