HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 22, 2011

DK MARY NAGU ATEMBELEA KIWANDA CHA TBL MBEYA


 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (katikati mbele) akiongozana na maofisa wa kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) cha mkoani Mbeya,maofisa wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na waandishi wa habari, kutembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda hicho, jijini humo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (katikati) akizungumza na maofisa wa kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) cha mkoani Mbeya,alipotembelea kiwanda hicho hivi karibuni.
Meneja wa kiwanda cha bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) mkoani Mbeya, Calvin Martin (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu  alipotembelea kiwanda hicho hivi karibuni.Katikati ni Ofisa Tawala Wilaya ya Mbeya, Geofrey Anania.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad