HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 14, 2011

TBL YAWAZAWADIA MAWAKALA WALIOSHINDA KWA MAUZO YA BIA ZAO

Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nik Brooks (kulia), akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni ya Anna Investment Limited, Anna Kaaya cheti kilichoambatana na zawadi ya sh, 1,750,000 baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa usambazaji na uuzaji wa vinywaji vya TBL, kwa Kanda ya Kusini. Hafla hiyo ilifanyika wakati wa mkutano wa viongozi wa mauzo na usambazaji wa TBL pamoja na baadhi ya mawakala wa kampuni hiyo, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Meneja Mauzo na Usambazaji wa TBL Kanda ya Kusini, James Bokella.
Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nik Brooks (kulia), akimkabidhi wakala wa kampuni hiyo, Jane Majuva cheti kilichoambatana na zawadi ya sh, 1,050,000 baada ya kuwa mshindi wa pili wa usambazaji na uuzaji wa vinywaji vya TBL, kwa Kanda ya Kusini. Hafla hiyo ilifanyika wakati wa mkutano wa viongozi wa mauzo na usambazaji wa TBL pamoja na baadhi ya mawakala wa kampuni hiyo, Dar es Salaam jana.Katikati ni Meneja Mauzo na Usambazaji wa TBL Kanda ya Kusini, James Bokella.
Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nik Brooks (kulia), akimkabidhi wakala wa kampuni hiyo, Ruwaichi Mosha cheti kilichoambatana na zawadi ya sh, 700,000 baada ya kuwa mshindi wa tatu wa usambazaji na uuzaji wa vinywaji vya TBL, kwa Kanda ya Kusini. Hafla hiyo ilifanyika wakati wa mkutano wa viongozi wa mauzo na usambazaji wa TBL pamoja na baadhi ya mawakala wa kampuni hiyo, Dar es Salaam jana.Katikati ni Meneja Mauzo na Usambazaji wa TBL Kanda ya Kusini, James Bokella.
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kusini, James Bokella (kulia)akizungumza na baadhi ya mawakala wa kampuni hiyo, Dar es Salaam juzi, kuhusu jinsi ya kuboresha mauzo ya kampuni hiyo, Dar es Salaam jana.
Baadhi wa mawakala na maofisa wa TBL, wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya mawakala wakinyoosha mikono kutaka kuchangia hoja katika mkutano huo.
Baadhi ya mawakala wa TBL, wakipata msosi walioandaliwa baada ya mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad