Kwanza kabisa tunapenda kuwasalimu wadau wote popote Duniani,tunatumaini ya kwamba bado mnaendelea na ujenzi wa taifa letu.
Kwa heshima na Taadhima tunapenda kuchukua nafasi hii kuwapa taarifa kwamba mtandao wenu wa Matukio na wanavyuo(www.tzwanavyuo.
Pia kwa watumishi wa vyuo Hapa nchini Tanzania
mnakaribishwa sana kuleta matangazo yenu ikiwa ni nafasi za masomo ama
kama kuna habari ya haraka mnataka iwafikie wanafunzi basi mtutumie moja
kwa moja nasi tutaiweka muda huo huo.
Mabadiliko mengine tuliyo yafanya
kwa faida ya watu wote ni kwamba sasa tuna panel upande wa kulia ambapo
tumeorodhesha tovuti za vyuo vyote vya Tanzania,pia tumeweka na mambo
mengine mengi ya msingi ambayo yatapata kuwasaidia.
Mtandao wa wanafunzi
ambao unafanya kazi kama Facebook (Social network)upo hewani
mnakaribishwa kujiunga www.tzuniversitiesconnects.tk mnakaribishwa sana pia mtakutana na wanavyuo wengine.Tunatanguliza shukrani zetu za Dhati.
Tumumie matukio na habari zozote zihusuzo vyuo hapa: twanavyuo@live.com
Tembelea Mtandao wa Matukio na wanavyuo hapa: www.tzwanavyuo.blogspot.com
Tumumie matukio na habari zozote zihusuzo vyuo hapa: twanavyuo@live.com
Tembelea Mtandao wa Matukio na wanavyuo hapa: www.tzwanavyuo.blogspot.com
No comments:
Post a Comment