HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 27, 2011

Shimo hili kwanini halifunikwi mpaka leo??

Ni Siku nyingi zana zimepita tangu shimo hili lianze kuwa wazi kwa madai ya kuibiwa mfuniko wake,hali ambayo ni ya hatari sana hasa kwa watu waendao kwa miguu kwa ikitokea mtu akateleza kwa bahati mbaya basi anaweza pata madhara makubwa sana.shimo hili nipo nje ya jengo la shirika la Ndege Tanzania (ATCL) mtaa wa Ohio,jijini Dar.Wahusika hebu fatilieni swala hili kabla madhara hayajatokea.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad