HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 6, 2011

RAIS KIKWETE NA WAZIRI MKUU PINDA WAKUTANA NA CEO WA VODAFONE DUNIANI


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na  Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare,Mkurugenzi wa Vodafone Vitorio Colao,Mkurugenzi wa kimataifa wa maswala ya kibiashara wa Vodacom  Afrika ya kusini Johan Dennelind walipoenda kumtembelea Ikulu na kuongea maswala mbalimbali ya kibiashara hivi karibuni.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi  Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare,ambapo uongozi wa kampuni hiyo ulienda Ikulu hivi karibuni kujadili maswala  mbalimbali ya kibiashara,wapili kutoka kushoto Mkurugenzi wa kimataifa wa maswala ya kibiashara wa Vodacom Afrika ya kusini Johan Dennelind,Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao,ambapo uongozi wa kampuni hiyo ulienda Ikulu hivi karibuni kujadili maswala  mbalimbali ya kibiashara,anaeangalia kushoto Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda,kulia Mkurugenzi wa kimataifa wa maswala ya kibiashara wa Vodacom Afrika ya kusini Johan Dennelind.
 Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa   Vodacom Tanzania Dietlof Mare,ambapo uongozi wa kampuni hiyo ulienda Ikulu hivi karibuni kujadili maswala  mbalimbali ya kibiashara,wapili kutoka kushoto Mkurugenzi wa kimataifa wa maswala ya kibiashara wa Vodacom Afrika ya kusini Johan Dennelind,Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Meneja wa mfuko wa Vodacom wa kusaidia wakina mama nchini(Mwei)Mwamvua Mlangwa,na Ofisa mkuu wa masoko na mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba mara baada ya kumaliza kwa mazungumzo yao Ikulu na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad