Tunaskitika
kuwataarifu kuhusu kifo cha Mtanzania mwenzetu Mzee Said Muhammad Sikamkono
kilichotokea jana tarehe 11/10/2011 mchana katika hospitali ya Queen
Elizabeth, Woolwich, London.
Mipango
ya mazishi inaendelea na mtaendelea kujulishwa. Kwa wakati huu ambao
tutakuwa tunasubiri kupata taarifa ya mazishi, mwenye kuweza kuchangia
chochote au mwenye kuhitaji kujua zaidi kuhusu msiba huu, tunaomba awasiliane
na;
Sheikh
Ayub kwa namba; 07944930708
AU
Said Surur kwa namba; 07538063536
AU
Mr.
Haruna Mbeyu kwa namba; 07813539025.
“MWENYEZI
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU SAID MUHAMMAD SIKAMKONO MAHALI PEMA.
MUNGU AMETOA NA MUNGU AMETWAA, JINA LAKE LIBARIKIWE”
No comments:
Post a Comment