Mkuu wa mkoa Mbeya,Abasi Kandoro akiongea na wakandarasi wa uwanja wa ndege songwe Mbeya alipotembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa kiwanja hicho.
Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akiwasisitiza wakandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege songwe kukamilisha ujenzi uwanja huo kwa muda uliopngwa
Meneja wa kiwanja cha ndege mkoa wa mbeya Ezekia Mwalutende (aliesimama) akisoma taarifa ya ujenzi wa kiwanja cha ndege songwe Mbeya
Hili ni jengo la abiria ambalo likikamilika litakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria 300 kwa saa
Hii ni barabara ya kutua na kurukia ndege nyenye urefu wa kilometa 3.6 na upana wa mita 45 kiwanja kitakuwa barabara ya kiungo moja na eneo la maegesho lenye uwezo wa kuegesha ndege nne aina ya boing 737 kwa pamoja.Picha zote na: www.latestnewstz.blogspot.com.
No comments:
Post a Comment