HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 8, 2011

MBWANA MATUMLA AJIFUA KUMKABILI FRANSIC MIYEYUSHO

Mabondia Mbwana Matumla (kushoto) na Mussa Sunga wakipigana wakati wa mazoezi ya kambi ya ILala jijini Dar es salaam jana.kulia ni kocha Mohamedi Chipota, Matumla anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa na Fransic Miyeyusho litakalofanyika mwishoni mwa mwezi huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad